Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fela Kuti aoa wake 27 siku moja

Fela Kuti Nm.jpeg Fela Kuti na wake zake

Sat, 14 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki Fela Kuti, nguli wa miondoko ya Afrobeat kutoka Nigeria aliweza kuwaoa wachezaji wake dansi 27 katika siku moja.

Fela aliwaita wazee 12 wa kimila waweze kusimamia sherehe yake, iliyofanyika katika hoteli moja ya kifahari iliyoko mjini Lago uko Nigeria February 20, 1978.

Nguli huyo aliwachukua wake zake wote 27 kwa fungate kuelekea nchini Ghana, hata hivyo Fela mnamo mwaka 1986 aliwakataa wake zake hao wote kwa kudai kuwa "Ndoa inaleta wivu na ubinafsi sana".

Chanzo: www.tanzaniaweb.live