Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fat Joe asema kwamba Lil Uzi Vert ni “Toleo baya la Lil Wayne”

1870 Fat Joe Lil Wayne TZW

Thu, 25 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Fat Joe alikuwa ni mgeni katika kipindi cha Ebro kwenye Beats 1 ambacho ni kituo cha redio cha muziki kinachomilikiwa na kuendeshwa na Apple Inc.



Katika kipindi hiko Fat Joe alizungumzia wasanii wa sasa wanavyoiga mwenendo wa Lil Wayne.

Joe alisema kwamba “vijana wa sasa ambao wanafanya muziki wa hip-hop wengi wao wanatumia mtiririko wa Lil Wayne.”

Fat Joe kisha aliendelea kusema mawazo yake juu ya Lil Uzi Vert ambaye amepata mafanikio ya kimuziki hivi karibuni. Joe alisema kwamba “Lil Uzi ni toleo baya la Lil Wayne na hafanyi vizuri kama Lil Wayne.”

Lil Uzi alijibu kwa kutweet hivi

Chanzo: bongo5.com