Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fat Joe: Kama sio msala huu, Chris Borown angekuwa Michael Jackson wa leo

Fat Joe Says Chris Brown Would Be Favorably Compa 3 1864 1718657959 0 Big Fat Joe: Kama sio msala huu, Chris Borown angekuwa Michael Jackson wa leo

Tue, 18 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kupitia podcast yake ya ‘The Biggest Fat Joe’, Rapa mkongwe wa Marekani, Fat Joe amesema Chris Brown angekuwa kwenye kiwango sawa na marehemu Michael Jackson, kame asingejiingiza kwenye migongano ya kimapenzi na aliyekuwa mpenzi wake wakati huo Rihanna.

Nguli huyo wa Hiphop anamtaja Chris Brown kama mwanamuziki mwenye kipaji cha hali ya juu kuwahi kutokea kwenye kizazi hiki.

“Kama Chris Brown asingeingia kwenye ugomvi na Rihanna, tungekuwa tunamwita Michael Jackson sasa hivi. Yeye ndiye mwanamuziki mwenye talanta zaidi kwenye wakati wetu. Hakuna wa kumkaribia” alisema Fat Joe

Chanzo: www.tanzaniaweb.live