Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fast & Furious 11 ndio ya mwisho kutoka

Fast And Furious 10 Fast X Fast & Furious 11 ndio ya mwisho kutoka

Thu, 20 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati tukiisubiri ‘Fast X’ mwezi Mei mwaka huu, tayari kuna kuna GOOD NEWS za kuwa sehemu ya 11 itakuwepo (Fast & Furious 11) ambapo imeelezwa kwamba filamu hiyo itakuwa ya mwisho kwenye mtiririko wa filamu za Fast & Furious.

Wakati tukiisubiri ‘Fast X’ mwezi Mei mwaka huu, tayari kuna kuna GOOD NEWS za kuwa sehemu ya 11 itakuwepo (Fast & Furious 11) ambapo imeelezwa kwamba filamu hiyo itakuwa ya mwisho kwenye mtiririko wa filamu za Fast & Furious. Kwa mujibu wa Variety, muongozaji Louis Leterrier ambaye ndiye alichukua nafasi ya Justin Lin na kuiongoza ‘Fast X’ mwezi Mei 2022, atakikalia tena kiti cha uongozaji kwa ajili ya F&F 11.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live