Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fally Ipupa aamua kuizunguka Dunia

Fally Ipupa Mn Fally Ipupa aamua kuizunguka Dunia

Mon, 11 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii kutoka Congo mkali wa Rumba, Fally Ipupa amekuja na mpango wakufanya ziara ya kuzunguka dunia nzima, hii ni baada ya zaira zake za hivi karibuni kuwa na mafanikio makubwa.

Ziara yake ya kwanza ilikua ya nchini Ufaransa mjini Paris ambapo alijaza ukumbi wa U-Arena na ya pili ilikua jijini London alizaja Wembley Arena.

Je ikitokea amekuja bongo unadhani show yake itafanyika wapi?

View this post on Instagram

A post shared by Fally Ipupa (@fallyipupa01)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live