Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Faiza amtaja Malkia Karen top 3 ya warembo Bongo

Malkia Karen Mrembo Malkia Karen

Tue, 13 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mfanyabiashara na muigizaji @iamfaizaally amemuweka msanii @malkiakaren kwenye tatu bora ya wanawake wazuri Bongo.

Mfanyabiashara na muigizaji @iamfaizaally amemuweka msanii @malkiakaren kwenye tatu bora ya wanawake wazuri Bongo. Aki-comment kwenye video ya Malkia Karen Faiza ameandika "We ni mzuri sina wa kukufanananisha nae Mimi Mars, ila katika bongo kati ya wanawake wazuri sana mdogo wangu uko kwenye Top 3".

Chanzo: www.tanzaniaweb.live