Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Faiza ampa neno Gigy Money baada ya video yake ya ngono kusambaa

Faiza Gigy A0041 Faiza amtia moyo Gigy Money baada ya video yake ya ngono kusambaa

Sat, 25 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji wa Bongo Movies na mjasiriamali, Faiza Ally amemtia moyo msanii mwenzake wa Bongo Fleva, Gift Stanford maarufu kama Gigy Money baada ya video zake za ngono kuvuja na kusambaa mitandaoni.

"Gigy stay strong beautiful, tumetoka kwenye familia tofauti haso zetu hazifanani, nilichokiona sio cha ajabu kabisa watu wanafanya kila siku. Hamna kipya kabisa, alafu nikwambie kitu dunia ya Instagram ni ndogo sana wala usihisi dunia nzima imeona na bado hata wakiona sio kesi kubwa sana.

"Kuwa strong kwa ajili ya Mayra, Mayra anakuhitaji kuliko chochote duniani, hizo oya oya za Instagram zitaisha leo kesho baadae na zitasahaulika watabaki na dhambi zao na hukumu zao kwa wale walioamua kukudhalilisha," amesema Faiza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live