Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Faiza Ally amchamba Diva

Faiza Ally Amchamba Diva Faiza Ally amchamba Diva

Fri, 23 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mzazi mwenziye Sugu, Faiza Ally amemchamba Diva thee Bawse kisa miwani na Wigi alilolivaa jana kwenye Harusi ya Mhasibu wa WCB, Don Fumbwe iliyofanyika Mlimani City.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameshare picha ya Diva na Mume wake na kuisindikiza na ujumbe huu.

"Kama itakupendeza naomba nikutumie wigi na miwani yenye good quality kindly nipe address kiroho safi."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live