Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Faiza Ally: Gigy Money yupo sahihi

Faiza Allyyy Faiza Ally: Gigy Money yupo sahihi

Tue, 4 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mfanyabishara Faiza Ally anasema kwamba huenda Gigy Money akawa sahihi kabisa kutokana na kauli yake ya kwamba wapo wadada ambao kazi zao ni kutafuta wanaume na kudanga badala ya kujishughulisha jambo ambalo linawafanya wafeki maisha yao ili waonekane wana pesa.

Faiza amesema kuwa wafanyabiashara wadogo wa kike Starehe wanazofanya na mitaji ya maduka yao ni vitu viwili tofauti kwani wanakula bata kwenye hoteli za nyota tano wakati gharama ya kulipia hoteli hizo ni mtaji tosha wa biashara zao.

"Kuna muda unajiuliza huyu mtu anafanya biashara ya aina gani, mbona kiduka kidogo lakini kila siku yupo Holiday, na busy kuwaambia wenzake work hard, work hard it will pay.

"Mtu anafanya kazi usiku na mchana lakini huwezi fanya kama wao, kiduka kidogo hela wanatoa wapi?" amesema Faiza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live