Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fainali za Miss World Zaahirishwa

Miss World123 Fainali za Miss World Zaahirishwa

Fri, 17 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

SHINDANO la Miss World 2021 ambalo fainali zake za kupata Mshindi zilitarajiwa kufanyika Desemba 16, 2021 huko Puerto Rico, limeahirishwa kwa muda hadi baada ya siku 90.

Waandaaji wamesema wamefikia hatua hiyo baada ya ongezeko la maambukizi ya Covid 19 ambayo yamethibitishwa mapema jana asuhuhi.

Baada ya kushauriana na maafia wa afya na wataalamu, uamuzi wa kuahirishwa ulifanywa mara moja ambapo washiriki na wafanyakazi wamewekwa karantini ukisubiriwa uchunguzi na upimaji zaidi kabla ya kuwaruhusu warudi katika nchi zao baada ya karantiniā€

Chanzo: www.tanzaniaweb.live