Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Fahamu umuhimu wa ku-restart simu

Website 0 Fahamu umuhimu wa ku-restart simu

Mon, 27 Sep 2021 Chanzo: eatv.tv

Ni wazi kuwa Smartphone zimekuwa ni sehemu ya maisha ya watu wengi kila siku, lakini ni vizuri ukafahamu kuwa washauri wa masuala ya Teknolojia wanasema ku-restart (kuwasha tena) simu yako angalau mara moja kwa wiki kunarahisisha utendaji kazi wa kifaa hicho.

Ni wazi kuwa Smartphone zimekuwa ni sehemu ya maisha ya watu wengi kila siku, lakini ni vizuri ukafahamu kuwa washauri wa masuala ya Teknolojia wanasema ku-restart (kuwasha tena) simu yako angalau mara moja kwa wiki kunarahisisha utendaji kazi wa kifaa hicho. Bob Motamedi ambaye ni mshauri wa teknolojia anasema kufanya hivyo husaidia simu kudumu na chaji lakini pia kufanya kazi haraka na vizuri zaidi ukilinganisha na simu ambayo hauja-restart.

Chanzo: eatv.tv