Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

FAHAMU: Mlevi aiba ndege na kwenda kuipaki mbele ya Baa

Mlevi Ndege FAHAMU: Mlevi aiba ndege na kwenda kuipaki mbele ya Baa

Wed, 10 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mnamo Septemba 1956 baada ya kutandika vyombo sawasawa kwenye baa moja huko New York, Thomas Fitzpatrick aliweka dau akiwa na walevi wenzake kwamba angeweza kusafiri kutoka New Jersey hadi New York City kwa dakika 15 na alipingwa vikali.

Saa 9 alfajiri aliiba ndege yenye injini moja kutoka Teterboro na kuruka bila taa wala redio yoyote na kutua kwenye Barabara ya St. Nicholas mbele ya baa aliyokuwa anakunywa...sehemu alipowekeana dau na wenzake ili kuthibitisha kile walichokuwa wakimpinga.

Kwasababu ya kufanya safari hiyo kinyume cha sheria alitozwa faini ya dola 100 baada ya mmiliki wa ndege hiyo kukataa kumfungulia Thomas mashtaka.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live