Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Exclusive:Macha kutoka kuwa jambazi hadi kumiliki makanisa

Video Archive
Mon, 12 Jul 2021 Chanzo: millardayo.com

Askofu Paul Macha ambaye anamiliki Kanisa la Jesus Colling Mison amekaa na sisi kuelezea aliyoyapitia kwenye maisha ambapo kwa kipindi cha nyuma alikuwa maarufu sana Tanzania kutokana na matukio yake ya ujambazi ambapo alihukumiwa gerezani miaka 30.

Askofu Paul Macha ambaye anamiliki Kanisa la Jesus Colling Mison amekaa na sisi kuelezea aliyoyapitia kwenye maisha ambapo kwa kipindi cha nyuma alikuwa maarufu sana Tanzania kutokana na matukio yake ya ujambazi ambapo alihukumiwa gerezani miaka 30. Macha anasema alikuwa na kesi 12 lakini akiwa gerezani alikuwa anafanya ujambazi kwa kuwa alikuwa anawapa ramani wenzake waendelee kuiba lakini pamoja na matukio yote aliyoyafanya mwaka 1988 alikuwa anafanya maombi akiwa na mwenzake ambaye alikuwa amefungwa na baada ya kutoka alibadilika na kuacha vitu vyote nakuamua kuokoka.

Chanzo: millardayo.com