Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ex ajichora Tattoo ya Drake

Sophie Brussaux Ex wa Drake ajichora Tattoo ya staa huyo

Tue, 10 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mama mtoto wa ‘rapa’ kutoka nchini Canada, Drake, Sophie Brussaux ameendelea kuonesha upendo kwa msanii huyo hadi kufikia hatua ya kuchora ‘tattoo’ ya Drake mkononi licha ya kuwa wawili hao kuachana.

Sophie ambaye amezaa mtoto mmoja na Drake aitwaye Adonis ame-share picha hizo kupitia ukurasa wake wa Instagram akiwa katika moja ya tamasha la baba mtoto wake na kueleza kuwa yupo katika nyakati za furaha na familia yake.

Hata hivyo, inadaiwa kuwa ‘tatoo’ hiyo si yakudumu kwani mwanadada huyo aliweka tag kwa kampuni inayotengeneza ya ‘tattoo’ za muda mfupi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live