Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ex aanika madhaifu ya Burna Boy 'Hana nguvu za kiume'

Burna Boy And Stefflon Don Photo.png Ex aanika madhaifu ya Burna Boy 'Hana nguvu za kiume'

Mon, 15 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii Burna Boy (31) Kutoka Nchini Nigeria amekiri kuwa na tatizo la kutosimamisha!

Superstar huyo Wanigeria amekiri hilo kufuatia ex wake mwanadada Stefflon Don (30) kuweka wazi sababu ya kuachana kwao.

Mrembo huyo mwanamuziki wa Uingereza amesema kwa miaka mitatu waliyokuwa wapenzi hakuweza kupata mimba na kuitwa mama sababu Burna Boy hayupo imara(impotent).

Mrembo huyo amesema hayo huku akionesha pia kama kumkejeli na kumdhihaki Burna kwa tatizo hilo

Baada ya hapo Burna Boy akaibuka kumjibu ex wake huyo na amethibitisha kuwa ni kweli ana tatizo husika lakini hajali sana kwasababu kama ni pesa anazo, lakini staa huyo wa Nigeria hajaingia ndani zaidi kuelezea kama tatizo lake ni la kuzaliwa nalo au lah!

Kabla ya kulipuliwa na ex wake huyo, wiki zilizopita Burna Boy akihojiwa alisema kwasasa yupo singo, ametimiza miaka 31 ila bado hana mtoto na labda akija kujiona yupo katika nafasi nzuri anaweza kupata mtoto

Alisisitiza kwamba experience hiyo ni nzuri na pia ni mbaya kwake kwani tayari kiuchumi yupo vizuri na hana mtoto, lakini ndugu zake wakifurahia mafanikio au utajiri wake sio jambo baya pia

Kipindi cha nyuma waliwahi kuibuka kinadada kama wawili hivi wakidai wamezaa na Burna Boy na kutelekezwa hata hivyo mwenyewe hakuonesha kujali kinadada hao na kudai wanaongopa yeye hana mtoto.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live