Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Eti Diva ana macho kama ya Mzungu, hatembei mchana

DIVA 23 Gigy Money

Wed, 22 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Diva The Bawse; ni mtangazaji maarufu wa Wasafi ambaye kama kawaida yake ametoa nyingine kali.

Safari hii ameibua gumzo akidai kwamba huwa hatembei mchana kwa sababu macho yake ni kama ya mzungu, yakipigwa jua yanaumia.

Diva anasema; “Sitembei mchana kabisa kwa sababu nikitembea mchana naumia sana macho, unajua macho yangu ni kama ya mzungu, lakini yana matatizo kwa hiyo nikipigwa na jua sana ninaumia macho kabisa; yaani ni kama mtu ananimwagia ile dawa ya kwenye kidonda (iodine).”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live