Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Esma anunua ndinga lingine baada ya Range Rover

ESMA GARI JIPYA Esma anunua ndinga lingine baada ya Range Rover

Tue, 11 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dada wa Staa wa Muziki Diamond Platnumz na Mfanyabiashara Esma Platnumz ametuonesha ndinga nyingine alioinunua ikiwa ni nusu Mwezi tu toka atuoneshe gari lake jipya aina ya Range Rover

Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameshare picha akiwa katika gari hilo kisha kuandika....

"Another one, tuliite jina gani hili!?… sasa hapa basi staki tena magari karoho kwatu haya yananitosha, Asanteni Ridelinemotors limefika salama."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live