Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Esma aibuka na ghorofa baada ya Range

ESMA GHOROFA Esma aibuka na ghorofa baada ya Range

Thu, 30 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kushusha Range namba E dada wa Diamond Platnumz, Esmaplatnumz aja na mipango ya mjengo mpya.

Kupitia Instastory yake Esma Platnumz ameweka picha ya nyumba na kuandika "Tuanze hii au kighorofa?"

Bado swali kawaachia wafuasi wake wa Insta kipi kianze kati ya nyumba ya chini au ghorofa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live