Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Eric Omondi kuachia video iliyomgharimu Mil. 64

Omondi Eric Bn.jpeg Eric Omondi kuachia video iliyomgharimu Mil. 64

Wed, 31 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchekeshaji kutoka Nchini Kenya, Eric Omondi ameweka wazi kuwa Siku ya Ijumaa ataachia Video ya Wimbo wake mpya ambayo ametumia gharama ya Ksh.Milioni 3.4 zaidi ya Tsh. Milion 64.

Kupitia ukurasa wa Instagram #Omondi ameshare video wakiwa Location na Msanii @iam_amberay wakipiga Picha kisha kuisindikiza na Ujumbe huu....

"Hii ilikuwa ni kupiga Picha tu!!! Tumefanya Video ya Muziki ya Ksh 3.8 Milioni(Tsh.Milion 64+) ili tu kuwaonyesha Wasanii jinsi inavyopaswa kufanyika video za Video ya Muziki."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live