Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Eric Omondi alipwa mamilioni kuonesha sura ya mwanaye

Eric Omondi Alipwa Mamilioni Kuonesha Sura Ya Mwanaye Eric Omondi alipwa mamilioni kuonesha sura ya mwanaye

Thu, 23 Nov 2023 Chanzo: Bbc

Ikiwa ni siku chache zimapita tangu mchekeshaji kutoka nchini #Kenya, #EricOmondi kulipwa zaidi ya Tsh 81 milioni kufichua sura ya mtoto wake wa kike #Kyla, hatimaye ameonesha sura ya mtoto huyo.

Awali Eric alisema kuwa hatokuja kuonesha sura ya mwanaye hadi mtu alipe ksh 50 milioni, ambapo atakayelipa pesa hiyo ndiye atakuwa mtu wa kwanza kumuona mtoto na atapata nafasi ya kuitumia picha ya sura ya kichanga huyo katika biashara zake kama vile majarida ya watoto au maduka makubwa ya nguo za watoto.

Kauli hiyo imetimia ambapo kupitia ukurasa wake wa Instagram ame-post video ya mtoto wake ikionesha kuwa #Kyla ni brand ambassador katika duka la bidhaa za watoto lililopo nchini #Kenya.

Chanzo: Bbc