Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Eric Omondi: Nitammaliza Mandonga

Mandonga Md Omondii Walimu 6 mbaroni kwa kulazimisha wanafunzi kufanya vitendo vya hovyo

Thu, 2 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Mandonga kufanyiwa mahojiano na kudai kuwa yeye ndiye kiboko ya mchekeshaji kutoka nchini Kenya, Eric Omondi hivyo akae kwa kutulia, msanii huyo maarufu Afrika Mashariki, ameibuka na kumjibu.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Omondi ameandika; “Ambieni huyu Kijana mdogo mimi asiwahi nijaribu. Asiwai nizungumzia ama kunitaja. NITAMMALIZA mimi na hizo Mafuta amejaza Kwa mwili. Heshimu Rais Kijana????????????????

Huo ndio ujumbe wa Eric Omondi kwa Mandonga, unaonaje zichapwe??

Chanzo: www.tanzaniaweb.live