Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Enjoy ya Jux na Diamond kwenye playlist ya Lupita Nyong'o

Diamond Jux Enjoys Enjoy ya Jux na Diamond kwenye playlist ya Lupita Nyong'o

Wed, 10 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwigizaji maarufu kutoka Kenya, Lupita Nyong'o ameshare nyimbo kumi kwenye playlist yake ya 'Vibes for 2024' huku ngoma ya 'Enjoy ' ya kwake Juma aliyomshirikisha Diamond Platnumz ikiwa ni mojawapo ya wimbo katika playlist hiyo.

Mwigizaji maarufu kutoka Kenya, Lupita Nyong'o ameshare nyimbo kumi kwenye playlist yake ya 'Vibes for 2024' huku ngoma ya 'Enjoy ' ya kwake Juma aliyomshirikisha Diamond Platnumz ikiwa ni mojawapo ya wimbo katika playlist hiyo. Mwigizaji huyo maarufu wa Black Panther kwa sasa yupo mapumzikoni ambako ndipo alipoamua kutoa Playlist hiyo ya Vibes for 2024.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live