Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Emma Stone Mwigizaji Bora wa Kike Tuzo za Oscar

Emma Stone 995 Emma Stone Mwigizaji Bora wa Kike Tuzo za Oscar

Mon, 11 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii maarufu wa maigizo na producer Emily Jean "Emma" Stone ashinda tuzo ya pili ya Mwigizaji Bora wa Kike.

"Asante kwa zawadi ya maisha katika Bella Baxter".

Staa wa Poor Things Emma Stone ameshinda tuzo ya Oscar ya mwigizaji bora wa kike.

Anaigiza Bella Baxter katika filamu ya ajabu, ya kifeministi kuhusu mwanamke ambaye ubongo wake unabadilishwa na ule wa mtoto wake ambaye hajazaliwa, na mwamko wake wa kijinsia na wa kibinafsi uliofuata.

Stone, pia alishinda mwigizaji bora wa Oscar katika 2017 kwa La La Land.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live