Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Elon: Mwanamume kulala kingono hovyo hovyo na wanawake huleta mikosi

Elon Musk Arejea Kwenye Nafasi Ya Mtu Tajiri Zaidi Duniani Elon Musk

Sat, 5 Aug 2023 Chanzo: Mwanaspoti

Elon Musk (52) tajiri namba moja duniani ameibuka kusema kwamba mwanaume kulalalala ovyo kingono na msururu wa wanawake usioisha pasipo kuwa na upendo wa dhati nao sio kitu cha kujivunia bali ni ishara ya maisha ya mikosi na yasiyo na muelekeo mzuri.

Tajiri huyo wa dunia alikuwa akimjibu mwanaume aliyedai kuwa wanawake wamezaliwa na nguvu flani za asili ambazo wanaume wanapolala nao huchukua nguvu husika huku akidai kuwa hiyo hata wanaume wenye nguvu (kipesa/kimadaraka) wamelala na wanawake wengi (na kupata hizo nguvu).

Ndipo Elon akaibuka kumjibu hivyo kuwa mwanaume kulala ovyo kingono na wanawake ni maisha ya mikosi na yasiyoeleweka.

Una maoni gani kuhusu kauli hii ya Elon Musk?

Chanzo: Mwanaspoti