Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Elon Musk tajiri namba moja Marekani

Elon Musk: Mmiliki Wa Twitter Atwaa Tena Taji La Mtu Tajiri Zaidi Duniani Elon Musk

Wed, 4 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mujibu wa jarida la Forbes limemtangaza mmiliki wa kampuni ya X hapo mwanzoni ilikuwa ina tambulika kama Twitter Elon Musk kuwa tajiri namba moja nchini Marekani hivi sasa kwa mwaka 2023.

Kwa mujibu wa jarida la Forbes limemtangaza mmiliki wa kampuni ya X hapo mwanzoni ilikuwa ina tambulika kama Twitter Elon Musk kuwa tajiri namba moja nchini Marekani hivi sasa kwa mwaka 2023. Elon Musk hivi sasa ana utajijiri wa dola billion 251 na hiyo inamfanya kushikilia namba moja ya watu matajiri nchini Marekani kwa mwaka 2023

Chanzo: www.tanzaniaweb.live