Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Elon Musk kuondoa Likes, Repost kwenye mtandao wa X

Elon Musk 21 Elon Musk kuondoa Likes, Repost kwenye mtandao wa X

Thu, 7 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Elon Musk, Mkurugenzi Mtendaji wa X (zamani ikijulikana kama Twitter) amethibitisha kuhusu marekebisho makubwa ambayo yanatarajiwa kufanywa na mtandao wake wa 'X' ikiwemo kuweka kipengele cha kuficha likes na ku -repost/retweet kwenye kila chapisho kwenye mtandao huo.

Musk alithibitisha Katika mkutano wa teknolojia na vyombo vya habari na mawasiliano ya Morgan Stanley akielezea juhudi za awali za maboresho katika mtandao huo wa 'X'.

Je, Unamaoni gani kuhusu maboresho hayo ya Musk kwenye mtandao wa 'X'?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live