Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Elon Musk aja na jipya Twitter, kaa tayari

MUSKELOOOOOOON2 Elon Musk

Tue, 9 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Elon Musk hapoi, amegeuka kuwa mzee wa matamko tu. Jana alitoka hadharani na kutangaza kwamba atapitisha fagio na kuzisafisha/kuziondoa akaunti zote ambazo hazijatumika kwa muda mrefu.

Zoezi hilo litaanza hivi karibuni.

Hujaitumia akaunti yako ya Twitter kwa muda gani? Tuachie comment yako.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live