Menu ›
Burudani
Mon, 14 Aug 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Fabrizio Romano ndio mtu mwenye ushawiwishi mkubwa zaidi kwenye mtandao wa Twitter (X) akiwa na Impression 4.2 Bilioni.
Romano ni Mwandishi wa habari za michezo na mara kwa mara anazungumzia masuala ya sajili za wacheza soka.
Mmiliki wa mtandao huu, Elon Musk anashika nafasi ya tano (5) akiwa na Impression Bilioni 2.7
Unadhani kwa Tanzania, ukitoa akaunti zinapost content za ngono nani anaongoza kuwa na Impresaions?
Chanzo: www.tanzaniaweb.live