Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Edu Boy: Nikirekodi nasahau

Edu Boy Saccsa Edu Boy.

Fri, 8 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa Edu Boy Mwanza Mwanza ametusanua kupitia Planet Bongo kuwa yeye sio shabiki wa muziki nje ya muziki anaoufanya na mara kadhaa huwa anasahau mistari ya nyimbo alizorekodi lakini hazijatoka ila zimekaa studio muda mrefu, kwasababu akitoka studio huwa anafanya vitu vingine kabisa toauti na muziki.

Rapa Edu Boy Mwanza Mwanza ametusanua kupitia Planet Bongo kuwa yeye sio shabiki wa muziki nje ya muziki anaoufanya na mara kadhaa huwa anasahau mistari ya nyimbo alizorekodi lakini hazijatoka ila zimekaa studio muda mrefu, kwasababu akitoka studio huwa anafanya vitu vingine kabisa toauti na muziki. "Ujue mimi nje ya muziki, mimi sio shabiki wa muziki, nikitoka studio huwa nafunika kila kitu ndio maana nikirekodi halafu nikakaa muda mtu akaja kunisikilizisha ngoma yangu studio, kama nimekaa muda siwezi kukumbuka mistari wala kuimba chochote," amesema Edu Boy.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live