Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ed Sheeran kuja na muendelezo wa "Magazijuto"

Ed Sheeran Singer Ed Sheeran

Fri, 3 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ed Sheeran anauendeleza vizuri mtiririko wake wa Album za ‘Magazijuto’ jana amedokeza kuwa Mei 5 mwaka huu atatuletea (-) yaani Kutoa au ‘Subtract’ kwa Kiingereza.

Ed Sheeran anauendeleza vizuri mtiririko wake wa Album za ‘Magazijuto’ jana amedokeza kuwa Mei 5 mwaka huu atatuletea (-) yaani Kutoa au ‘Subtract’ kwa Kiingereza. Mtiririko huu ulianza tangu mwaka 2011 ambapo Ed Sheeran aliachia (+), (X), (➗), ikafuata (=) mwaka 2021 na sasa inafuata (-)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live