Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ed Sheeran atua O2 Arena kwa sapraizi kumpiga tafu 50 Cent

Ed Sheeran 50 Cent Ed Sheeran atua O2 Arena kumpiga tafu 50 Cent

Wed, 22 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii Ed Sheeran ameendeleza utamaduni wa kuwa mwenyeji wa wasanii wengi wa marekani wanapokuwa na show huko Uingereza.

Usiku wa kuamkia leo Ed Sheeran aliwafanyia surprise mashabiki waliohudhuria show ya siku ya pili ya Rapper 50 Cent iliyofanyika katika uwanja wa 02 Arena huko London.

Show hii ilipangwa kufanyika siku tatu ambapo tayari siku mbili zimepita na zote zimekuwa sold out.

Kwa hapa bongo unadhani ni msanii gani anaweza kufanya kitu kama anachokifanya Ed Sheeran?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live