Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ed Sheeran: Niliandika "Shape Of You" kwa ajili ya Rihanna

Ed X Rihanna Ed Sheeran: Niliandika "Shape Of You" kwa ajili ya Rihanna

Sun, 24 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa muziki kutoka Uingereza, Ed Sheeran amefichua kuwa aliemsukuma kuandika wimbo wa Shape Of You ni Staa Rihanna, Alifichua hayo katika mahojiano ya hivi majuzi na HitsRadio

Staa wa muziki kutoka Uingereza, Ed Sheeran amefichua kuwa aliemsukuma kuandika wimbo wa Shape Of You ni Staa Rihanna, Alifichua hayo katika mahojiano ya hivi majuzi na HitsRadio "Rihanna anaweza kufanya chochote. Yeye ndiye shujaa wa watunzi wa nyimbo. Nilipoandika Shape Of You, mtu ambaye nilikuwa nikimwandikia akilini mwangu alikuwa #Rihanna,” Sheeran alisema.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live