Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ebotoke: Mwanaume wa kunioa aje na bilioni 1

Ebitoke Sd Ebotoke

Fri, 28 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ebitoke; ni mchekeshaji na msanii wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania ambaye anasema kuwa, yeye kuolewa hadi mwanaume awe na pesa si chini ya shilingi bilioni moja.

Ebitoke ambaye amekuwa akijinasibu kuwa, bado ni binti mbichi na hajaguswa na mwanaume anasema kuwa, anasema hivyo kwa sababu ya uzuri alionao ambao unaongezeka siku hadi siku.

Ameweka wazi kuwa, hiyo ndio sababu yupo singo kwani bado hajampata mwanaume mwenye vigezo hivyo anavyovihitaji na hawezi kuolewa ilimradi tu!

Chanzo: www.tanzaniaweb.live