Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

EXCLUSIVE: Saida Karoli ameeleza kuhusu mualiko alioupata wa kifalme UGANDA

973 Aa 597x400 TZW

Wed, 3 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Saida Karoli amekuwa Msanii pekee wa Tanzania kupata mualiko kutoka kwa Mfalme wa Uganda KABAKA katika sherehe za kufunga Mwaka, Saida ameeleza alivyopokea mualiko huo kwa mara ya pili, ambapo kwa mara ya kwanza alitoa burudani Uganda kipindi wimbo wa Chambua kama karanga ukiwa hot.

Bonyeza PLAY hapa chini kumsikiliza Saida Karoli..

VIDEO: MSANII UGANDA AMPIGIA MAGOTI SAIDA KAROLI KAFUNGUKA SABABU

Chanzo: millardayo.com