Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

EXCLUSIVE: Noorah awa muuza duka, afunguka mazito "kila shabiki namdai elfu 10, wanaabudu ngono"; (+video)

Video Archive
Tue, 11 Aug 2020 Chanzo: millardayo.com

Haji Noorah maarufu ‘Noorah baba Stylz’ ni miongoni mwa majina makubwa kwenye muziki wa bongofleva, sasa hivi ni zaidi ya miaka ya miaka 10 hajasikika kwenye muziki, pamoja na kwamba Noorah alipitia matatizo kadhaa ikiwepo ajali mwaka 2005 lakini pia mke wake wa kwanza kufariki 2015 lakini kuna sababu anazo za kwanini sasahivi hayupo tena kwenye muziki.

Haji Noorah maarufu ‘Noorah baba Stylz’ ni miongoni mwa majina makubwa kwenye muziki wa bongofleva, sasa hivi ni zaidi ya miaka ya miaka 10 hajasikika kwenye muziki, pamoja na kwamba Noorah alipitia matatizo kadhaa ikiwepo ajali mwaka 2005 lakini pia mke wake wa kwanza kufariki 2015 lakini kuna sababu anazo za kwanini sasahivi hayupo tena kwenye muziki. AyoTV na millardayo.com tumemtembelea ofisini kwake Shinyanga Mjini maeneo ya Kambarage ambapo biashara yake ya sasa ni kuuza spea za magari.

Chanzo: millardayo.com