Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

EXCLUSIVE: Mohombi kazungumza kwenye uzinduzi Album ya Vanessa, alichojifunza kwa Diamond

848 Screen Shot 2017 12 30 At 4.24.35 PM 567x400.png TZW

Sun, 31 Dec 2017 Chanzo: millardayo.com

Msanii mwenye asili ya Kongo na Sweden Mohombi aliyealikwa usiku wa  December 29,2017 katika uzinduzi wa album ya Vanessa Mdee inayoitwa Money Mondays huku party hiyo kupewa jina la Listening Album kama mgeni rasmi  na uzinduzi huo kuhudhuriwa na baadhi ya wasanii kama Jux, Lulu Diva, Weusi, Mimi Mars, Brian Simba.

Mohombi alifanya EXCLUSIVE INTERVIEW na Ayo Tv na kuzungumza  kuhusiana na muziki wa Kiafrika na kikubwa alichojifunza kutoka kwa Diamond Platnumz baada ya kufanya naye kollabo ya “Rockonolo” bonyeza PLAY kusikiliza alichokisema Mohombi.

VIDEO:Herieth Paul kataja nyimbo tano za wabongo anazosikiliza akiwa Marekani

Chanzo: millardayo.com