Moja ya kitu ambacho huwenda mashabiki hawakutegemea kukisikia ni pamoja na hii ya wimbo mpya ambao Dogo Janja amemshirikisha Mke wake Irene Uwoya na katika wimbo huo Uwoya amesema ameshirikishwa na amechana na wanategemea kuutoa mwezi ujao karibia na siku ya wapendanao.
Irene Uwoya amesema hilo wakati alipoulizwa kama anampango wa kuja kumshirikisha mumewe Dogo Janja katika Movie yake mpya ndipo akasema kuwa kuna wimbo ameshirikishwa na mumewe na hajahusika kama video vixen bali amechana.
Bonyeza PLAY kutazama FULL VIDEO..
Irene Uwoya “Kinachoniuma mwanangu amekosa Baba, Baba yake alikuwa na watoto wengi”