Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

EXCLUSIVE: Diamond Kafunguka kolabo na Alikiba

2174 Oooo 660x400

Mon, 29 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Katika Usiku wa kumtambulisha Maromboso WCB Mkubwa Fella alisema kuwa anatamani kumuona Diamond akifanya Kolabo na Alikiba kabla hajafa, sasa kwenye Exclusive interview Diamond alipoulizwa kuhusu hilo alijibu na kusema kuwa atafanya kolabo na Alikiba kwani hakuna Ubaya..

Diamond ambaye alikuwa akimzungumzia Maromboso ikiwa kama ujio wake utagawa mashabiki wa WCB na kusema kuwa kila mtu anaridhiki yake na lengo siyo mmoja awe na mashabiki wengi kuliko wenzie bali ni kila mtu apate riziki kidogo ambayo Mungu atamjalia..

Bonyeza PLAY hapa chini kumsikiliza DIAMOND PLATNUMZ akielezea..

“kabla sijafa natamani Diamond afanye wimbo na Kiba” Said Fella

Chanzo: millardayo.com