Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

EXCLUSIVE: Compozers wazungumza kuhusu Alikiba na Diamond

887 Compoer 660x315.png TZW

Mon, 1 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Mtu wangu wa nguvu ukiwa unaendele kusubiria kuupokea mwaka 2018 kwenye AyoTv nimekusogezea EXCLUSIVE INTERVIEW na  Compozers hili ni kundi la muziki ambalo linatokea London ila Wasanii wa kundi hilo wanaasili ya Ghana.

Wamezungumza mambo mengi ikiwemo kuhusu muziki wao na kuelezea kuhusu muziki wa Bongofleva na kuwataja Alikiba na Diamond Platnumz.

kupata taarifa kamili Bonyeza PLAY  kwenye video hapa chini.

TOP 10: STORI ZA BURUDANI ZILIZOCHUKUA HEADLINES 2017

Chanzo: millardayo.com