Msanii Abdukiba ambaye ana undugu wa damu na msanii Alikiba amezungumza kwa mara ya kwanza na kuelezea ukweli kuwa alishawahi kutoka na Tunda kwenye uhusiano wa kimapenzi, Tunda ambaye hivi karibuni amekuwa akidaiwa kutoka kimapenzi na Star Diamond Platnumz.
Hii imekuja baada ya kumuuliza swali kuwa ni uhusiano upi katika maisha yake anaumiss sana ndipo akamtaja Tunda na kueleza ilivyokuwa wakati wakiwa pamoja na kwanini hawakutaka kuyaweka mahusiano yao public na ipi ni sababu ya wao kuachana..?
Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama ABDUKIBA akielezea FULL STORY
Tunda “Diamond nipo nae karibu, nionane na Zari niongee naye nini?
TUNDA KAFUNGUKA “Napenda vitu vizuri silipiwi na mtu nalala mpaka hotel ya laki 8”