Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dyna Nyange: Sijawahi ku-date na staa

Nyange Mkl.jpeg Dyna Nyange.

Thu, 19 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa muziki Dayna Nyange amefunguka na kuzungumzia kiundani kauli yake ambayo amekuwa akitoa kila mara kwamba hawezi kutoka kimapenzi na mastaa wenzake.

“Sijawahi kudate na staa na si kwamba wakaka wazuri hawapo, na sio kwamba hawanitokei, labda hawajui kutongoza vizuri,” alisema Dayna.

“Kwa sababu sijawahi kushawishika kutembea na staa na sipendi kutembea na staa, so wakati mwingine unaweza ukawa haupendi kitu lakini ukashawika kuingia lakini mimi bado hajatokea,” amesema.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live