Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Duu !!! “Nalipwa pesa kutembea utupu” -Akothee

2100 Sequence 01.Still041 TZW

Mon, 29 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Muimbaji Akothee kutoka nchini Kenya ambaye wengi tulimfahamu baada ya kumshirikisha staa wa Bongofleva Diamond Platnumz kwenye wimbo wake wa Sweet Love, leo ameingia kwenye headlines Kenya baada ya watu kukosoa tabia yake ya kupost picha katika mitandao ya kijamii zikionyesha maungo yake.



Akothee amezichukua headlines baada ya kuamua kuwajibu wale wanaomkosoa kuwa anavaa nguo za nusu uchi, kitu ambacho hawakipendi na sio vizuri kwake kwani yeye hapaswi kufanya hivyo kutokana na kuwa mama watoto watano.



Baada ya stori hizo kuenea na kuonekana Akothee zimemfikia alitumia ukurasa wake wa instagram kuwajibu wanaomsema na kumuandama , Akothee ameandika hivi “I get paid to walk naked

Chanzo: millardayo.com