Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Duma adai hamjui Gabo Zigamba (Video)

Sat, 23 Dec 2017 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa filamu Duma amefunguka kwa kudai kwamba hamjui muigizaji wa filamu Gabo ambaye anadaiwa kufanya vizuri kwa sasa. Wawili hao waliingia kwenye bifu zito baada ya Duma kukaririwa na chombo cha habari akidai Gabo sio staa kwa sababu hajui kuvaa huku akidai mara nyingi amemkuta akiwa amerudia nguo. Hata hivyo Gabo hakuwai kuzungumzia ishu hiyo.

Chanzo: bongo5.com