Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dullvani: Nimedhulumiwa milioni 20

Dullvani  R Dullvani: Nimedhulumiwa milioni 20

Mon, 18 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchekeshaji Dullvani amefunguka sababu za kukaa kimya kwa muda mrefu pasipo na mfululizo wa kutengeneza maudhui mengi ya mitandao kama zamani.

Akizungumza na Manara TV kwenye usiku wa TANZANIA FILM Festival Wawards, Dullvani alisema kuna mambo ameyapitia hivi karibuni ambayo mambo hayo huko nyuma hakuwahi kuyapitia.

"Nimepitia magumu sana hivi karibuni kuna mtu nilimpa milioni ishirinini ( 20 ) aniletee gari akatokomea nayo mazima sikumuona tena ikanibidi nitafute pesa nyingine ninunue gari," alisema Dullvani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live