Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dullah Makabila avurugwa tena

Dulla Makabilaaaa Dullah Makabila avurugwa tena

Wed, 6 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

King of singeli Dullah Makabila ameeleza masikitiko yake kwa wasanii wa singeli kwamba wameshindwa kutoa nyimbo kali ambayo imefanikiwa kuipiku nyimbo yake ya "Pita Huku".

"Naona mpaka sasahivi hakuna singeli ilovunja record ya pita huku nikiwa kama mfalme kiukweli inasikitisha na inanivunja moyo upinzani hakuna hakuna kama wenzetu," ameandika dullah makabila kupitia Instagram.

Wimbo wa nipite huku hivi sasa una zaidi ya views milioni 5.2 ikiwa na miezi 8 tu tangu umetoka.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live