Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dulla Makabila akanusha kutoka na Rushaynah

Dulla Makabila Akanusha Kutoka Na Rushaynah Dulla Makabila akanusha kutoka na Rushaynah

Fri, 2 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa muziki wa Singeli @dullamakabila amekanusha vikali kutoka kimapenzi na aliekuwa Mke wa @hajismanara, @rushaynah_ huku akidai kuwa wao wawili ni mtu na Dada yake tu na hamna mengine.

Msanii wa muziki wa Singeli @dullamakabila amekanusha vikali kutoka kimapenzi na aliekuwa Mke wa @hajismanara, @rushaynah_ huku akidai kuwa wao wawili ni mtu na Dada yake tu na hamna mengine. Mara ya kwanza wawili hao kuonekana pamoja ilikuwa wiki iliyopita kwenye Show ya #DullaMakabia Yombo na #Rushaynah alitambulishwa mbele ya mashabiki kama Shemeji yao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live