Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dulla Makabila aitwa polisi

Manara 453 Dulla Makabila aitwa polisi

Thu, 25 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyejitambulisha kama mwanasheria wa Dulla Makabila ameweka wazi kuwa mteja wake hakushtakiwa na Haji Manara Polisi kama wengi walivyoripoti mwanzo.

Amesema kuwa Polisi wamemuita Dulla Makabila kumhoji kuhusu yale yanayoendea mitandaoni ili kuepusha Taharuki.

Mbali na hilo ameongeza kuwa pia Dulla Makabila amehojiwa kuhusu wimbo wake kuhusu kama kamlenga mtu. Makabila pia ameulizwa kuhusu kauli ya Haji Manara na kutoa maoni yake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live