Menu ›
Burudani
Tue, 12 Dec 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Msanii wa Singeli, Dulla Makabila amesema, ameshamalizana na aliyekuwa mkewe Zaylisa hivyo asingependa kujua yupo na nani.
Makabila amefunguka hayo leo alipokuwa akifanyiwa mahojiano na Clouds FM ambapo aliulizwa kuhusu suala hilo ndipo akafunguka.
"Nizungumze leo kwa mara ya mwisho, yule tulikuwa na makubaliano ya ndoa baadaye tukawa na makubaliano ya kuachana hivyo siwezi kutaka kujua yupo na nani kwa sasa ni kama vile mpira ukikutoka mguuni, hupaswi kujua unaelekea wapi," alisema Dulla.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live