Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dulla Makabila: Wasanii wa Singeli nipeni Changamoto

Dulla Makabilaaaa Dulla Makabila

Thu, 7 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Singeli, Dulla Makabila ameeleza masikitiko yake kwa wasanii wa singeli kwamba wameshindwa kutoa nyimbo kali ya kuipiku nyimbo yake ya "Pita Huku".

"Naona mpaka sasahivi hakuna singeli ilovunja record ya pita huku nikiwa kama mfalme kiukweli inasikitisha na inanivunja moyo upinzani hakuna hakuna kama wenzetu." ameandika Dulla Makabila kupitia Instagram.

Wimbo wa 'Pita Huku' hivi sasa una zaidi ya watanzani (views) Milion 5.2 katika mtandao wa YouTube ikiwa ni miezi 8 tuĀ tanguĀ umetoka.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live