Menu ›
Burudani
Sun, 9 Oct 2022
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Mtangazaji na chawa maarufu Bongo, Mwijaku amesema, duka la mavazi la mtoto wa Kajala, Paula gharama zake zimechangiwa na Harmonize pamoja na Rayvanny.
Mwijaku amefunguka hayo kwenye mahojiano na Bongo Five ambapo alieleza kuwa, Rayvanny alitoa shilingi milioni 20 wakati ambao walikuwa kwenye mahusiano lakini baadaye walipoachana, Harmonize aliongezea fedha nyingine ndipo Paula akafungua duka hilo.
“Lile walichangia Rayvanny na Harmonize. Kila mmoja alitoa kama shilingi milioni 20 hivi. Paula kwa sasa anawasiliana sana na Paula na ndio mimi namzuia asiwe karibu naye,” alisema Mwijaku.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live